SABAYA, WENZAKE WASHINDA TENA KESI (video+)

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, imewaachia huru washtakiwa wote saba ambao ni aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, baada ya mahakama hiyo kusema kuwa ushahidi uliotolewa na mashahidi wa upande wa Jamhuri kugubikwa na utata na hivyo Mahakama kushindwa kuthibitisha makosa hayo. Hii ni kesi ya pili ambayo Lengai